Kijarida cha kuelimisha juu ya masuala muhimu ya ardhi, mabadiliko ya tabia ya nchi, utawala na usimanizi wa rasilimali vijijini

Kisheria ardhi inajumuisha vitu vyote vilivyo juu na chini ya uso wa nchi, vikiwemo majengo, uoto wa asili na maendelezo yote yaliyofanywa isipokuwa madini na bidhaa za mafuta na gesi. Mali hizo humilikiwa na serikali au watu binafsi na makampuni ambayo huingia mikataba ya kuzivuna kwa manufaa ya raia. Download

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *