Kijarida chakuelimisha jamii juu ya masuala muhimu ya usimamizi wa ardhi,utawala, mipango ya matumizi ya ardhi na utatuzi wa migogoro ya ardhi

Maana ya ardhi: Kisheria ardhi inajumuisha vitu vyote vilivyo juu na chini ya uso wa nchi, vikiwemo majengo, uoto wa asili na maendelezo yote yaliyofanywa isipokuwa madini na bidhaa za mafuta na gesi. Mali hizo humilikiwa na serikali au watu binafsi na makampuni ambayo huingia mikataba ya kuzivuna kwa manufaa ya raia wote. Download

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *