Skip to main content
x
uchambuzi

Kijarida cha kuelimisha jamii juu ya masuala muhimu ya haki za ardhi kwa wanawake nchini tanzania

Sera na Sheria mbalimbali nchini Tanzania zinatoa fursa kwa makundi yote kuwa na haki ya kupata, kutumia, kumiliki na kunufaika na rasilimali mbalimbali ikiwemo ardhi. Kijarida hiki kinachambua Sera na Sheria hizi hasa kikiangazia haki za ardhi kwa kundi kubwa la Wanawake, kama ifuatavyo.