Sera na Sheria mbalimbali nchini Tanzania zinatoa fursa kwa makundi yote kuwa na haki ya kupata, kutumia
Mtandao wa Mashirika yanayojihusisha na Utetezi wa Rasilimali Ardhi (TALA) pamoja na wadau wengine walikutana Jijini Dar es Salaam kufanya uchambuzi wa Rasimu ya Mapitio ya Sera ya Taifa ya Ardhi 2016.